Muhula mpya wa masomo mwezi March 2019.
Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa muhula mpya wa masomo utaanza tarehe 18/3/2019, Mafunzo na kozi zitakazo tolewa ni pamoja na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo na Computer.
Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni Kijitonyama na kwenye website ya chuo. Wote mnakaribishwa.