MAOMBI | FANI ZA MUDA MREFU (LONG COURSES JULY 2021)

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa maombi ya kujiunga na masomo ya muda mrefu (long courses) mwezi July 2021,  yanapokelewa hadi sasa chuoni Kijitonyama na Dodoma. 

Fani zinazotolewa:-

  • Uchomeleaji (Welding and Fabrication)  Level I mwaka mmoja.
  • Umeme wa magari (Auto Electric) Level I mwaka mmoja.
  • Ufundi wa magari (Motor Vehicle Mechanics) Level I mwaka mmoja.
  • Ufundi wa mitambo  (Heavy duty Mechanics) Level I mwaka mmoja.

ihet-training-1

Image 1 of 3

Masomo kwa fani za muda mrefu yataanza tarehe 26/7/2021. Kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani intake ya mwezi July 2021 maombi yanapokelewa chuoni Kijitonyama DSM na Nala Dodoma.

Kujiunga pakua form Application form

Au tupigie simu namba +255 (0) 754 300 200, +255 (0) 711 597 778, +255 (0) 719 348 778