Mafunzo ya uendeshaji Mitambo

Mafunzo yameanza kwa intake mpya September 2018, tunawakaribisha wote wanaotaka kujifunza kuendesha mitambo kama motor grader, Excavator, Compactor au Forklift. Kujiunga pakua form hapa au fika chuoni Kijitonyama.