Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuwatangazia wote kuwa, kutakua na ufadhili wa masomo kwa awamu ya 1, mwezi April 2021 kwa wanafunzi wa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo campus ya Dodoma.
Waombaji watakaojiunga na mafunzo kabla ya tarehe 15/4/2021 watanufaika na ufadhili huo wa hadi asilimia 25 ya gharama zote.
kwa mawasiliano tupigie simu namba 0748221919 au 0787343404
Imetolewa na mkuu wa chuo, chuo cha mitambo (IHET), Dodoma.