Computer Course | Welding and Fabrication

Tunapenda kuwakaribisha katika mafunzo ya computer, Introduction to computer/ Computer course pamoja na computer applications kama Ms. Word, Ms. Publisher, Ms. Power Point na Ms. Excel. Wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya computer download form kupitia www.ihet.ac.tz au fika chuoni IHET Admission office, KLT Building 8th floor, Science Kijitonyama. Pia tunapenda kuwatangazia watu wote kua tunatoa mafunzo ya welding and fabrication. Kujiunga jaza fomu hapa , au fika chuoni Kijitonyama.