Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo ya kozi za Computer (Computer courses) yataanza mapema mwezi June, 2022.
- Introduction to computer.
- Basic computer Application.
- Graphics Design.
- Website Design.
- Computer Programing.
- Computer Maintenance and Repair.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 au 0748221919 au 0719348778 au 0747175175.