MWAKA WA MASOMO 2022 | LONG COURSE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa mwaka mpya wa masomo 2022, yataanza tarehe 17/1/2022 kwa waombaji wa fani za:- Ufundi wa mitambo Ufundi wa magari makubwa na madogoUchomeleaji na Umeme wa magari. Maombi ya kujiunga na masomo ya ufundi ya muda mrefu (Long Course 2022) yanapokelewa chuoni IHET Kijitonyama Dar es Salaam, IHET Nala Dodoma, na Ilemela MWANRead More…

WAHITIMU KIDATO CHA NNE 2020

Chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) kinapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kidato cha nne ambao wanapenda kujiunga na fani mbalimbali za ufundi kuwa chuo bado kinapokea wanafunzi wa Level 1 na Level 2. Chuo kinatoa mafunzo bora ya ufundi katika fani mbalimbali zilizo katika ushindani mkubwa wa soko la ajira na kujiajiri kama vile:- – Ufundi wa mitambo – Ufundi wa magari makubwa na madogo Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | JANUARY 2021 DSM & MWANZA CENTER

  Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa muhula wa mwaka mpya 2021 yataanza tarehe 11/1/2021 kwa waombaji wa Mwanza na tarehe 18/1/2021 kwa waombaji wa fani za muda mrefu (long course) DSM. Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani awamu ya 8 kwa waombaji wa Mwanza yanapRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | OCTOBA 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 22 yataanza mapema tarehe 5 mwezi Octoba 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Mafunzo ya udereva wa magari na computer yanaendelea chuoni Kijitonyama. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simRead More…

OFA | WANAFUNZI 100

PUNGUZO LA HADI 25%  OFA KWA WANAFUNZI 100 WAKWANZA KURUDISHA FOMU KABLA YA TAREHE 30 MWEZI WA TISA 2019. WATAPATA PUNGUZO LA ADA KWA 25%. FOMU ZINAPATIKANA KWENYE WEBSITE YA CHUO AU FIKA CHUONI KIJITONYAMA DSM NA ILEMELA MWANZA MAWASILIANO MAIN OFFICE: KIJITONYAMA DAR ES SALAAM P.O.Box 55079 DSM, TANZANIA. Call: +255(0)222700745 / +255(0)754300200 / +255(0)719348778 Email:Read More…

Muhula mpya wa masomo mwezi Februari 2019

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa muhula mpya wa masomo utaanza tarehe 11/2/2019, Mafunzo na kozi zitakazo tolewa ni pamoja na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo, mafunzo ya uchomeleaji (welding), umeme wa magari (Auto electric), ufundi wa magari (mechanics) na Computer. Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni Kijitonyama na kwenye website ya chuo. Wote mnakaribishwa. Read More…

Muhula mpya wa masomo mwezi januari 2019

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa muhula mpya wa masomo utaanza tarehe 14/1/2019, wote mliochukua fomu za kujiunga mnakumbushwa kurudisha mapema kabla ya tarehe 7/1/2018. Mafunzo na kozi zitakazo tolewa ni pamoja na mafunzo ya uchomeleaji (welding), umeme wa magari (Auto electric), ufundi wa magari (mechanics), mafunzo ya uendeshaji wa mitambo na computa. Fomu za kujiunRead More…

Jifunze kuendesha mitambo ya ujenzi inayotumika katika ujenzi wa barabara, bandarini na migodini

Jifunze kuendesha mitambo ya ujenzi inayotumika katika ujenzi wa barabara, bandarini na migodini kama:-  Hydraulic Excavator, Motor grader, Wheel loader , Roller, Crane, Forklift. Pia tunafundisha kuchomelea (Welding and fabrication), umeme wa magari  na ufundi makenika wa magari makubwa na madogo. Tunafundisha kozi za computer kwa gharama nafuu. Form ya kujiunga application Read More…