May 2018 intake
Tunapenda kuwatangazia kua muhula mpya wa masomo mwezi wa tano utaanza tarehe 14/5/2018. Tunawakaribisha wote wanaotaka kujifunza kozi za mitambo ya ujenzi wa barabara na migodini. Fika chuoni Kijitonyama au pakua fomu ya kujiunga au piga simu namba 0654389169 au 0655435103.Read More…