MUHULA MPYA WA MASOMO | JULY 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 19 pamoja na kozi za Computer yataanza mapema mwezi July 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu namba  +255719348778 kwa Dar es Salaam na +255747175175 kwa Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBER 2019

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) kwa kushirikiana na Chuo kishiriki EKAMI kutoka nchini FINLAND anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 15 yataanza tarehe 25/11/2019 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu namba +255754300200 au +255719348778Read More…

UFADHILI WA MASOMO | WHEEL LOADER & CRANE OPERATION COURSE SPONSORSHIP

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknolojia (IHET) anapenda kuutangazia uma na wadau wa mitambo kuwa, kutakua na ufadhili wa masomo kwa waombaji wa kozi za wheel loader na crane kwa mihula itakayoanza Octoba 21 na Novemba 25. Waombaji wenye sifa watapata ufadhili wa hadi 50%. Kujisajili bofya hapa . Mafunzo ya uendeshaji mitambo na Kompyuta muhula mpya (awamu ya 14) yataanza tarehe 21/10/2Read More…

TANGAZO | SPECIAL TRAINING COURSE FOR CRANE OPERATOR

Mkuu wa chuo cha Mitambo na TeknoloJia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa kutakua na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo ya kunyanyua vitu (Crane Operator Training Course). Mafunzo yatakayotolewa ni pamoja na Refresher training kwa wanaotoka kazini na wenye uzoefu wa mashine. Mafunzo yataanza tarehe 21/10/2019Read More…

OFA | WANAFUNZI 100

PUNGUZO LA HADI 25%  OFA KWA WANAFUNZI 100 WAKWANZA KURUDISHA FOMU KABLA YA TAREHE 30 MWEZI WA TISA 2019. WATAPATA PUNGUZO LA ADA KWA 25%. FOMU ZINAPATIKANA KWENYE WEBSITE YA CHUO AU FIKA CHUONI KIJITONYAMA DSM NA ILEMELA MWANZA MAWASILIANO MAIN OFFICE: KIJITONYAMA DAR ES SALAAM P.O.Box 55079 DSM, TANZANIA. Call: +255(0)222700745 / +255(0)754300200 / +255(0)719348778 Email:Read More…

Muhula mpya mwezi Julai 2019

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknologia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Operator Training Course) muhula mpya mwezi Julai yataanza tarehe 22/7/2019 chuoni Kijitonyama. Wale wote wanaohitaji mafunzo haya wanaweza kufika chuoni Kijitonyama au wakatupigia simu namba 0754300200,Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO JULAI 2019

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Teknologia (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kilichopo Kijitonyama Dar es Salaam. Anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Operator Training Course) muhula mpya mwezi Julai yataanza tarehe 1/7/2019 chuoni Kijitonyama. Wale wote wanaohitaji mafunzo haya wanaweza kufika chuoni Kijitonyama au wakatupigia simu namba 0754300200, Read More…

Muhula mpya wa masomo mwezi June 2019

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa muhula mpya wa masomo utaanza tarehe 3/6/2019, Mafunzo na kozi zitakazo tolewa ni pamoja na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo na Computer. Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni Kijitonyama na kwenye website ya chuo. Wote mnakaribishwa. Kwa mawasiliano na jinsi ya kujiunga wasiliana nasi kwa namba za simu 0754300200 au 0719348778Read More…