AWAMU YA PILI | WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI (FANI MBALIMBALI) KWA MWAKA WA MASOMO 2022

Na.JINAKOZIANWANI1ALLY JUMAHEAVY DUTY MECHANICSDAR ES SALAAM2JOSEPH PATRICKHEAVY DUTY MECHANICS MPANDA3ABDALA NASSORO HEAVY DUTY MECHANICS TABORA4AHMEDI YUSUPH HEAVY DUTY MECHANICS KASURU KIGOMA5ISACK KULASAUKWA HEAVY DUTY MECHANICS DAR ES SALAAM6REMMY ELES HEAVY DUTY MECHANICS KIGOMA7GEORGE SAMWELI HEAVY DUTY MECHANICS DAR ES SALAAM8SAM SOKOLO KASEKO HEAVY DUTY MECHANICS DODOMA9GOVINDA JUNIOR MARead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Novemba, 2021 yataanza tarehe 8/11/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapokelewa cRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO MWEZI MARCH 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa awamu ya 27, March 2021 yameanza tarehe 1/3/2021 chuoni IHET DSM na MWANZA.   Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni Kijitonyama kwa fani zote za ufundi wa mitambo, uendeshaji wa mitambo, udereva wa magari na kompyuta. Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 auRead More…

WAHITIMU KIDATO CHA NNE 2020

Chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) kinapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kidato cha nne ambao wanapenda kujiunga na fani mbalimbali za ufundi kuwa chuo bado kinapokea wanafunzi wa Level 1 na Level 2. Chuo kinatoa mafunzo bora ya ufundi katika fani mbalimbali zilizo katika ushindani mkubwa wa soko la ajira na kujiajiri kama vile:- – Ufundi wa mitambo – Ufundi wa magari makubwa na madogo Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | JANUARY 2021 DSM & MWANZA CENTER

  Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa muhula wa mwaka mpya 2021 yataanza tarehe 11/1/2021 kwa waombaji wa Mwanza na tarehe 18/1/2021 kwa waombaji wa fani za muda mrefu (long course) DSM. Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani awamu ya 8 kwa waombaji wa Mwanza yanapRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2020 MWANZA

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa maombi ya mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani awamu ya 6 kwa waombaji wa Mwanza yataanza kupokelewa  mapema tarehe 2 mwezi Novemba 2020 chuoni  Ilemela Mwanza na Kijitonyama DSM.  Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni KijiRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | OCTOBA 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 22 yataanza mapema tarehe 5 mwezi Octoba 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Mafunzo ya udereva wa magari na computer yanaendelea chuoni Kijitonyama. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simRead More…