MUHULA MPYA WA MASOMO FANI ZA UENDESHAJI WA MITAMBO | MACHI 2023

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi wa tatu Machi 01 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombiRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Novemba, 2021 yataanza tarehe 8/11/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapokelewa cRead More…

MAFUNZO YA HARBOUR CRANE KWA MUHULA WA KWANZA 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo (Institute of Heavy Equipment and Technology – IHET) kwa kushirikiana na chuo cha EKAMI cha nchini FINLAND anapenda kuwatangazia mafunzo ya muhula mpya wa masomo mwaka 2020, ambayo yatafanyika kuanzia tarehe 9/3/2020 kwa utaratibu ufuatao; Ada ya mafunzo ni shilingi milioni mbili na laki mbili (2,200,000/=) Mwombaji atatakiwa kulipa kiasi kisichopungua shiRead More…