MUHULA MPYA WA MASOMO FANI ZA UENDESHAJI WA MITAMBO | MACHI 2023

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi wa tatu Machi 01 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombiRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | JUNE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi June, 2022 yataanza tarehe 6/6/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Mwanafunzi wa Hydraulic Excavator ORead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | MACHI 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Machi, 2022 yataanza tarehe 7/3/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maomRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | FEBRUARI 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Februari, 2021 yataanza tarehe 7/2/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, mRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | DISEMBA 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Disemba, 2021 yataanza tarehe 6/12/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, mRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Novemba, 2021 yataanza tarehe 8/11/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapokelewa cRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | AUGUST 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi August na September, 2021 yataanza tarehe 30/8/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET KIJITONYAMA DSM. Kwa waombaji wa Dar es SaRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | JUNE 2021 DSM & DODOMA CENTER

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi June, 2021 yataanza tarehe 1/6/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET KIJITONYAMA DSM, Pia kuna ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watakaRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | MAY 2021 DSM & DODOMA CENTER

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa muhula mpya wa masomo mwezi MEI 2021  yataanza mapema mwezi MEI, 2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Usajili unaendelea chuoni IHET Kijitonyama na Nala Dodoma.  Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa cRead More…

DODOMA CAMPUS | UDHAMINI WA MASOMO – MAFUNZO YA UENDESHAJI WA MITAMBO

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa, kutakua na ufadhili wa masomo kwa awamu ya 1, mwezi April 2021 kwa wanafunzi wa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo campus ya Dodoma. Waombaji watakaojiunga na mafunzo kabla ya tarehe 15/4/2021 watanufaika na ufadhili huo wa hadi asilimia 25 ya gharama zote. kwa mawasiliano tupigie simu namba 0748221919 au 0787Read More…