MUHULA MPYA WA MASOMO NGAZI YA CERTIFICATE NA DIPLOMA YA ICT | MACHI 2023

PAKUA FORM YA KUJIUNGA Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya wa masomo katika ngazi ya certificate na diploma tunaanza kupokea wanafunzi kuanzia machi 01, 2023 Pia IHET inatoa punguzo la asilimia 20% katika ada kwa wataochaguliwa kujiunga katika ngazi hizi Hostel/ Mabweni yapo Kwa watakao hitaji. BONYEZA HAPA KUPATA FORM PIA IHET INATOA KOZIRead More…

COMPUTER COURSE | JUNE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo ya kozi za Computer (Computer courses) yataanza mapema mwezi June, 2022. Introduction to computer.Basic computer Application.Graphics Design.Website Design.Computer Programing.Computer Maintenance and Repair. Computer courses | June 2022 Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 au 0748221919 au 0719348778 au 07Read More…

MWAKA WA MASOMO 2022 | LONG COURSE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa mwaka mpya wa masomo 2022, yataanza tarehe 17/1/2022 kwa waombaji wa fani za:- Ufundi wa mitambo Ufundi wa magari makubwa na madogoUchomeleaji na Umeme wa magari. Maombi ya kujiunga na masomo ya ufundi ya muda mrefu (Long Course 2022) yanapokelewa chuoni IHET Kijitonyama Dar es Salaam, IHET Nala Dodoma, na Ilemela MWANRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | DISEMBA 2021

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Disemba, 2021 yataanza tarehe 6/12/2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, mRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | MAY 2021 DSM & DODOMA CENTER

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa muhula mpya wa masomo mwezi MEI 2021  yataanza mapema mwezi MEI, 2021 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Usajili unaendelea chuoni IHET Kijitonyama na Nala Dodoma.  Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa cRead More…

WAHITIMU KIDATO CHA NNE 2020

Chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET) kinapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kidato cha nne ambao wanapenda kujiunga na fani mbalimbali za ufundi kuwa chuo bado kinapokea wanafunzi wa Level 1 na Level 2. Chuo kinatoa mafunzo bora ya ufundi katika fani mbalimbali zilizo katika ushindani mkubwa wa soko la ajira na kujiajiri kama vile:- – Ufundi wa mitambo – Ufundi wa magari makubwa na madogo Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | JANUARY 2021 DSM & MWANZA CENTER

  Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa masomo kwa muhula wa mwaka mpya 2021 yataanza tarehe 11/1/2021 kwa waombaji wa Mwanza na tarehe 18/1/2021 kwa waombaji wa fani za muda mrefu (long course) DSM. Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani awamu ya 8 kwa waombaji wa Mwanza yanapRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2020 MWANZA

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa maombi ya mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani awamu ya 6 kwa waombaji wa Mwanza yataanza kupokelewa  mapema tarehe 2 mwezi Novemba 2020 chuoni  Ilemela Mwanza na Kijitonyama DSM.  Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maombi yanapolewa chuoni KijiRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | OCTOBA 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 22 yataanza mapema tarehe 5 mwezi Octoba 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Mafunzo ya udereva wa magari na computer yanaendelea chuoni Kijitonyama. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | AUGUST 2020

Mkuu wa chuo cha mitambo na Teknolojia (IHET)  anapenda kuwatangazia wote kuwa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo inayotumika kwenye ujenzi wa barabara migodini na viwandani awamu ya 20 pamoja na kozi za Computer yataanza mapema tarehe 3 mwezi August 2020 chuoni Kijitonyama na Ilemela Mwanza. Kujiunga na mafunzo haya wasiliana nasi kwa simu namba +255754300200, +255711597778 au +255719348778 kwRead More…