MUHULA MPYA WA MASOMO NGAZI YA CERTIFICATE NA DIPLOMA YA ICT | MACHI 2023

PAKUA FORM YA KUJIUNGA Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya wa masomo katika ngazi ya certificate na diploma tunaanza kupokea wanafunzi kuanzia machi 01, 2023 Pia IHET inatoa punguzo la asilimia 20% katika ada kwa wataochaguliwa kujiunga katika ngazi hizi Hostel/ Mabweni yapo Kwa watakao hitaji. BONYEZA HAPA KUPATA FORM PIA IHET INATOA KOZIRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO FANI ZA UENDESHAJI WA MITAMBO | MACHI 2023

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi wa tatu Machi 01 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombiRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | SEPTEMBA 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Septemba, 2022 yataanza tarehe 5/9/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma,&nRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | AUGUST 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi August, 2022 yataanza tarehe 1/8/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWARead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | JULY 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi July, 2022 yataanza tarehe 4/7/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZRead More…

COMPUTER COURSE | JUNE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo ya kozi za Computer (Computer courses) yataanza mapema mwezi June, 2022. Introduction to computer.Basic computer Application.Graphics Design.Website Design.Computer Programing.Computer Maintenance and Repair. Computer courses | June 2022 Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0754300200 au 0748221919 au 0719348778 au 07Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | JUNE 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi June, 2022 yataanza tarehe 6/6/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Mwanafunzi wa Hydraulic Excavator ORead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | MAY 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi May, 2022 yataanza tarehe 9/5/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Mwanafunzi wa Hydraulic Excavator OpRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | APRIL 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi April, 2022 yataanza tarehe 4/4/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWANZA maombi  yanapokelewa chuoni IHET Nala Dodoma  na IHET Ilemela Mwanza . Kwa waombaji wa Dar es Salaam, maomRead More…