MUHULA MPYA WA MASOMO | DISEMBA 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi DISEMBA, 2022 yataanza tarehe 5/12/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Waombaji wa kozi za muda mfupi Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | NOVEMBA 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi NOVEMBA, 2022 yataanza tarehe 7/11/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Waombaji wa kozi za muda mfupi Read More…

TANGAZO LA KAZI | HEAVY DUTY CONSTRUCTION EQUIPMENT OPERATOR (TIPPER TRUCK) – 100 POSTS

Tangazo la Ajira.Wanahitajika maopareta wa mitambo (Heavy Duty Construction Equipment Operator – Tipper Truck) wenye sifa na uzoefu wa kuopareti mtambo, uzoefu usiopungua miaka miwili. Kituo cha kazi: Mradi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere – Rufiji. Maombi ya kazi na CV ya muombaji pamoja na Leseni ya udereva vitumwe kwenye email: recruitment@ihet.ac.tz kabla ya tarehe 11/10/2022. KRead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | OKTOBA 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi OKTOBA, 2022 yataanza tarehe 3/10/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Waombaji wa Diploma na CertificaRead More…

TANGAZO LA KAZI | CANE HARVESTER OPERATOR

Tangazo la Ajira.Wanahitajika maopareta wa mitambo (Cane Harvester operators) wenye sifa na uzoefu wa kuopareti mtambo, uzoefu usiopungua miaka miwili. Kituo cha kazi: Bagamoyo. Maombi ya kazi na CV ya muombaji vitumwe kwenye email: recruitment@ihet.ac.tz Kwa taarifa zaidi Tembelea website yetu www.ihet.ac.tzEmail: recruitment@ihet.ac.tz au tupigie simu namba +255754300200 / +2557482Read More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | SEPTEMBA 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi Septemba, 2022 yataanza tarehe 5/9/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma,&nRead More…

TANGAZO LA KAZI | FRONT OFFICE – NAFASI MOJA

Mkuu wa chuo cha Mitambo na Tekinolojia (IHET) Dar es Salaam, anapenda kutangaza nafasi ya kazi FRONT OFFICE nafasi moja. VIGEZO: Muombaji awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 30.Awe na sifa/elimu ya Cheti au Diploma kutoka chuo kinachotambulika. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika vizuri kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili.Awe anajua kutumia Kompyuta; Programu kama MS. WORD, MS. EXCERead More…

RESULTS | LONG COURSE LEVEL 1 IST TERM 2022

RESULTS 1ST TERM LONG COURSE – LEVEL I 2022 S/NREG. NOAVERAGEGRADEREMARK1IHET/LC/HDM/22/06457.6DPOOR2IHET/LC/HDM/22/06567.3CGOOD3IHET/LC/HDM/22/0665.2FVERRY POOR4IHET/LC/HDM/22/06745.6DPOOR5IHET/LC/HDM/22/06849.1DPOOR6IHET/LC/HDM/22/06961.8CGOOD7IHET/LC/HDM/22/0702.5FVERRY POOR8IHET/LC/HDM/22/07265.3CGOOD9IHET/LC/HDM/22/07377.7BVERRY GOOD10IHET/LC/HDM/22/07457.2DPOOR11IHET/LC/HDM/22/07553.4DPORead More…

MUHULA MPYA WA MASOMO | AUGUST 2022

Mkuu wa chuo cha mitambo (IHET) anapenda kuwatangazia kuwa masomo kwa muhula mpya mwezi August, 2022 yataanza tarehe 1/8/2022 kwa waombaji wa fani za uendeshaji wa mitambo itumikayo kwenye ujenzi wa barabara, migodini na viwandani. Mafunzo yanafanyika kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kufundishia (Simulators) pamoja na mazoezi (practical) kwenye fani husika. Kwa waombaji wa Dodoma, na MWARead More…