Jifunze kuendesha mitambo ya ujenzi inayotumika katika ujenzi wa barabara, bandarini na migodini kama:-
Hydraulic Excavator, Motor grader, Wheel loader , Roller, Crane, Forklift.
Pia tunafundisha kuchomelea (Welding and fabrication), umeme wa magari na ufundi makenika wa magari makubwa na madogo.
Tunafundisha kozi za computer kwa gharama nafuu.
Form ya kujiunga application form